Wazee wa jamii ya Tigania kaunti ya Isiolo wataka migogoro ikomeshwe

  • | Citizen TV
    73 views

    Wakazi wa Isiolo wameandamana kupinga bajeti ya Shilingi bilioni 7 waliyoitaja kuwa ya siri na isiyo na ushirikishwaji wa umma. Wanamtuhumu Spika Abdulahi Banticha na Karani wa Bunge Salad Boru kwa kuchochea migawanyiko na kuvuruga huduma za kaunti