6 Aug 2026 1:44 pm | Citizen TV 136 views Duration: 1:56 Wazee wa kijiji cha Kiptoror mpakani mwa kaunti ya Elgeyo Marakwet na Trans Nzoia wana wasiwasi kufuatia kuvamiwa kwa mmoja ambaye aliumizwa vibaya na wagemaji na watumizi wa pombe haramu katika eneo hilo.