- 1,224 viewsDuration: 2:25Baraza la wazee wa Jamii ya Maa wametishia kuongoza jamii Hiyo kutpinga azma ya Rais William Ruto ya kupata muhula wa Pili ofisini Iwapo mzozo unaozingira Uhamisho wa Usimamizi wa Mbuga ya Kitaifa ya Amboseli kutoka serikali kuu hadi serikali ya kaunti ya Kajiado hautatuliwa. Zogo hilo limejiri baada ya mahakama ya kuizuia kaunti ya Kajiado kuchukua usukani wa usimamizi wa mbuga hiyo ya wanyama hadi kesi iliyowasilishwa isikizwe.