Wazee wataka vijana wasitishe maandamano

  • | Citizen TV
    1,071 views

    Huku maandamano ya kizazi cha Gen-Z yakiendelea katika miji mablimbali nchini, baraza la wazee la jamii ya wakalenjin limewataka vijana hao sasa kusitisha maandamano kwani mswada wa fedha ulishawekwa kando.