- 2,376 viewsDuration: 4:06Wazee kutoka jamii ya Abagusii wamefanya maandamano ya amani katikati ya mji wa Kisii kushinikiza taifa la uingereza kuwapa fidia dhidi ya halaiki ya wenyeji waliouawa nyakati za ukoloni eneo la Gusii. Wazee hao waliobeba mabango kuashiria dhulma walizopitia pia wametoa kauli kwamba kichwa wa shujaa Otenyo Nyamatereee kilichopelekwa Uingereza pia ni sharti kiletwe Kisii.