Waziri Aden Duale atoa onyo kwa wale wanaochafua mto Nairobi

  • | Citizen TV
    99 views

    Uadhimishaji Wa Kwanza Ya Siku Ya Mazingira Umefanyika Kote Nchini Huku Wakenya Wakitakiwa Kupanda Miti Na Kuzingatia Usafi Wa Mazingira. Waziri Wa Mazingira Aden Duale Aliongoza Hafla Hio Katika Bustani Ya Arboretum Hapa Jijini Nairobi Ambapo Alitoa Onyo Kwa Watu Wote Ambao Wanachafua Mito Na Mazingira Kote Nchini. Duale Ameitaka Mamlaka Ya Nema Kuwachukulia Hataua Waegezaji Wa Manyumba Ambao Wanachangia Uchafuzi Wa Mto Nairobi.