Waziri Beatrice Askul aahidi kuanzisha mazungumzo na mwenzake wa taifa la Uganda

  • | Citizen TV
    159 views

    Waziri wa Jumuiya ya Africa Mashariki Beatrice Askul ameahidi kuanzisha mazungumzo na mwenzake wa taifa la Uganda kufuatia madai ya uvamizi wa mipaka eneo la Busia, inayoathiri maisha ya wakazi wanaoishi mpakani.....