Waziri Joho aahidi kutatua dhuluma za kihistoria za ardhi Pwani

  • | Citizen TV
    660 views

    Waziri wa madini na uchumi wa bahari na maziwa Ali Hassan Joho amesema ataongoza shughuli za kutatua dhuluma za kihistoria za ardhi zinazokumba eneo la Pwani.