Waziri Justin Muturi asema zaidi ya vitambulisho laki moja na themanini hazijachukuliwa

  • | Citizen TV
    1,641 views

    Waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi amebaini kuwa zaidi ya vitambulisho laki moja na themanini vipo katika vituo vya Huduma Centre kote nchini na kuwataka wahusika kujitokeza na kuchukua vitambulisho vyao.