Waziri Kindiki aonya polisi dhidi ya ufisadi

  • | K24 Video
    170 views

    Waziri usalama wa ndani profesa Kithure Kindiki ametoa onyo kali dhidi ya maafisa wa polisi wanaondeleza ufisadi na kutumia mamlaka yao vibaya akisema chuma chao ki motoni. Kindiki amesema hayo hii leo wakati alipozindua ujenzi wa afisi mpya za polisi mjini thika kaunti ya Kiambu alikowataka wafanyikazi wote wa umma kuwajibika ipasavyo.