Waziri Kindiki asema baa zaidi zimeendelea kufungwa

  • | Citizen TV
    491 views

    Maduka 18,000 ya kuuza vileo na baa zimefungwa kufikia sasa, kwenye msako dhidi ya pombe haramu unaoendelezwa na serikali kote nchini. Waziri wa usalama wa kitaifa Profesa Kithure Kindiki sasa akisema kuwa operesheni hii iliyoendelea kwa mwezi wa pili sasa imefana, japo akawaonya magavana wanaokaidi na kwenda kinyume na kanuni hizi