Waziri Kindiki asema shughuli za kutoa cheti cha nidhamu zitalainishwa

  • | Citizen TV
    204 views

    Waziri wa usalama profesa kithure kindiki amewahakikishia wakenya kuwa shughuli za utoaji wa stakabadhi kutoka kwa polisi kama cheti cha nidhamu zitalainishwa na kurahisishwa.