Waziri Kindiki azuru makao makuu ya DCI kukagua utoaji wav yeti vya nidhamu

  • | Citizen TV
    473 views

    Kwasasa waziri kindiki yuko katika makao makuu ya upelelezi wa jinai iliyoko katika barabara ya kiambu ambako inadaiwa kuwa vyeti vya nidhamu vinacheleweshwa kutolewa na maafisa wa DCI. Ben Kirui anaandamana na waziri Kindiki na sasa anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi.