Waziri Kithure Kindiki atetea ucheleweshaji paspoti

  • | Citizen TV
    407 views

    Waziri wa usalama Kithure Kindiki amekiri kuwa uhaba wa paspoti nchini umeendelea, akisema kuwa kumekuwa na mapungufu kwa usambazaji vijitabu vya stakabadhi hiyo. Waziri kindiki hata hivyo ameiambia bunge kuwa wizara yake inajitahidi kusuluhisha tatizo hili ili kupunguza msongamano katika jumba la nyayo kwa wakenya wanaotafuta cheti hiki cha usafiri. Kindiki amesema tayari idara ya uhamiaji imepokea zaidi ya nakala elfu thelathini kuchapisha vyeti hivyo