- 241 viewsDuration: 2:37Zaidi ya wanafunzi 200 wamejiunga na Chuo cha Kadri cha Ronald Ngala Utalii baada ya Waziri wa Utalii na Wanyamapori Rebecca Miano kufungua rasmi awamu ya kwanza ya usajili. Serikali imesema makubaliano na kampuni ya meli yatawezesha wahitimu kuajiriwa moja kwa moja.