- 216 viewsDuration: 1:30Waziri wa elimu Migos Ogamba sasa anasema asilimia 96 ya wanafunzi wa gredi ya kumi wameripoti shileni baada ya maagizo ya rais william ruto wiki iliyopita. Migos amesema hayo wakati akihudhuria kongamano la wabunge mjini naivasaha. Nao wabunge wametaka uchunguzi kufanywa kuhusu madai ya ufisadi katika ununuzi wa sare za shule wanafunzi wanaporejea shuleni.