Skip to main content
Skip to main content

Waziri mkuu wa Malaysia asifu mpango wa nyumba za serikali

  • | Citizen TV
    2,383 views
    Duration: 1:57
    Serikali ya Kenya na Malaysia zimetia saini mikataba kadhaa ya uhusiano wa kibiashara na miradi ya maendeleo . Waziri mkuu wa Malaysia Anwar Bin Ibrahim ambaye yuko humu nchini kwa ziara rasmi ya kiserikali amesifu mpango wa serikali wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Kulingana naye, mpango huo utainua maisha ya watu masikini wasio na uwezo wa kumiliki nyumba.