Waziri mteule wa vyama vya ushirika Wycliffe Oparanya apinga madai yoyote ya ufisadi

  • | Citizen TV
    679 views

    Waziri mteule wa vyama vya ushirika na biashara ndogo Wyckliffe Oparanya sasa anasema hajawahi kuandika taarifa yoyote na tume ya kupambana na ufisadi, akijitetea dhidi ya tuhuma za ufisadi alipokuwa gavana wa Kakamega. Oparanya ameiambia kamati ya uteuzi iliyompiga msasa kuwa madai ya ufisadi kutoka kwa tume ya EACC dhidi yake ni Uongo mtupu. Na kama Melita Ole Tenges anavyoarifu, Oparanya pia alitetea msimamo wake wa awali kuhusu hazina ya Hustla