Skip to main content
Skip to main content

Waziri Murkomen aahidi kutuma maafisa zaidi wa polisi kurejesha usalama Kitui na Tana River

  • | Citizen TV
    361 views
    Duration: 1:13
    Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen ameahidi kuwatuma maafisa zaidi wa usalama ili kurejesha usalama katika mpaka wa kaunti ya Kitui na ile ya Tana River.