Waziri wa elimu Julius Migos Ogamba amethibitisha dhamira ya serikali ya kuimarisha elimu ya juu, maslahi ya wafanyakazi wa vyuo vikuu pamoja na kuhakikisha kuwa masomo yanaambatana na ukuaji wa teknologia ya digitali. Waziri Ogamba amesema kuwa serikali tayari imelipa shilingi bilioni 7.9 chini ya mktaba wa makubaliano wa mwaka 2017-2021 ya wahadhiri wa vyuo vikuu, huku malimbikizi yaliosalia akisema yatalipwa katika mwaka wa kifedha wa 2026-2027
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive