Skip to main content
Skip to main content

Waziri Ogamba apinga madai ya kupunguzwa mgao wa fedha za masomo katika shule za sekondari ya juu

  • | NTV Video
    177 views
    Duration: 3:07
    Waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba amepinga madai kuwa serikali imepunguza kisirisiri mgao wa fedha za masomo katika shule za sekondari ya juu kutoka shilingi elfu 22 hadi shilingi elfu 14 kwa kila mwanafunzi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya