Waziri Ruku aonya wafanyakazi wa umma wasiofika ofisini

  • | Citizen TV
    631 views

    Ili kunyoosha utendakazi wa maafisa wa Serikali Kwa umma huduma Kwa umma, wale wanaochelewa au kukosa kufika afisini wametahadharishwa dhidi ya kuondolewa Kwa daftari la wafanyakazi wa Serikali, wakionywa kutajwa kuwa wafanyakazi hewa