Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa ardhi alisema shamba la Olkiombo lilitolewa visivyo

  • | Citizen TV
    247 views
    Duration: 2:53
    Waziri wa ardhi Alice Wahome sasa anasema kwamba shamba la ekari elfu nne mia saba la Olkiombo ndani ya hifadhi ya Maasai Mara lilitolewa kinyume cha sheria. Waziri Wahome amefafanua kuwa ardhi hiyo haikupimwa kabla hatimiliki kutolewa kwa Livingston Kunini Ntutu ambaye ni nduguye Gavana wa Narok Patrick Ole Ntutu