Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa elimu Migos Ogamba awataka wahadhiri wa vyuo vikuu kurejea darasani

  • | Citizen TV
    1,166 views
    Duration: 2:12
    Waziri wa elimu Migos Ogamba amewataka wahahdiri na wanachana wa UASU, KUSU na Kudhea kusitisha mgomo huku serikali ikiendelea kutekeleza mkataba wa makubaliano kwa awamu. Migos ameyasema hayo alipozindua mtihani ya kitaifa katika makao makuu ya baraza la mitihani nchini KNEC mtaani South C.