Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi azidi kutetea ongezeko la bei ya mafuta

  • | K24 Video
    65 views

    Waziri wa Kawi, Opiyo Wandayi, amejitetea mbele ya Kamati ya Seneti kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta, akisisitiza kuwa serikali imechukua hatua kuhakikisha gharama hiyo haina athari kubwa kwa maisha ya Wakenya.