17 Jul 2026 10:35 am | Citizen TV 352 views Duration: 2:13 Wafugaji katika Kaunti ya Tana River waweza kufuatilia mienendo wa mifugo wao kwa njia ya kidijitali, baada ya serikali kuzindua rasmi mfumo wa ANITRAC kwenye kaunti hiyo.