Waziri wa madini Salim Mvurya akutana na viongozi wa Kitui

  • | Citizen TV
    169 views

    Waziri wa madini na uchumi wa bahari na maziwa Salim Mvurya amezuru kaunti ya Kitui katika jitihada za kuwahamasisha viongozi kuhusu madini kadhaa yanayopatikana kitui na hali ya uchimbaji wa madini.