Waziri wa mashauri ya kigeni Musalia Mudavadi awahakikishia wageni Kenya iko imara

  • | Citizen TV
    172 views

    Waziri wa mashauri ya kigeni Musalia Mudavadi amewahakikishia wawekezaji na mabalozi wa kigeni kuwa Kenya inasalia imara licha ya msukosuko wa maandamano ulioshuhudiwa nchini