Waziri wa Ulinzi Aden Duale atia saini mkataba wa wanajeshi wa Kenya kuwafunza wanajeshi wa DRC

  • | Citizen TV
    3,717 views

    Waziri wa ulinzi Aden Duale juma lililopita aliongoza ujumbe wa kenya kwa ziara ya kutathmini shughuli za kijeshi katika jamhuri ya kidemokresia ya congo. Kwenye ziara yake, waziri duale alimudu kutembea kambi kadhaa za kijeshi na hata kutia saini mkataba na mwenzake wa congo jean - pierre bemba unaowawezesha wanajeshi wa kenya kuwapa mafunzo wenzao wa taifa hilo la DRC