Waziri wa ulinzi Duale aongoza mkutano wa kiusalama eneobunge la Ijara

  • | Citizen TV
    231 views

    Waziri wa ulinzi Adan Duale anaongoza kikosi cha maafisa wa usalama katika eneo la Masalani eneo bunge la Ijara kwa mkutano wa kiusalama na viongozi wa eneo hilo. Mkutano huu ukijiri siku chache baada ya maafisa 8 wa usalama kuuawa baada ya gari walimokuwa kukanyaga vilipuzi katika eneo la Bodhei eneobunge hili la Ijara.