Waziri wa ulinzi wa Marekani Lloyd Austin aitembelea kambi ya Simba huko Manda bay , Kenya.

  • | VOA Swahili
    647 views
    Waziri wa ulinzi wa Marekani Lloyd Austin Jumanne amepongeza kile alichokiita “ushusiano wenye nguvu” baina ya vikosi vya Marekani na Kenya wakati alipokutana na wanajeshi wa nchi hizo mbili katika kambi ya Simba huko Manda bay , Kenya.