Waziri wa Usalama Kindiki akosoa mvutano wa tume ya polisi na Inspekta Jenerali

  • | Citizen TV
    220 views

    Waziri wa Usalama wa kitaifa Profesa Kithure Kindiki amekosoa mvutano kati ya tume ya huduma za Polisi na Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome kuhusiana na kupandishwa vyeo kwa maafisa wa polisi. Waziri Kindiki ameiambia kamati ya bunge kuhusu Usalama kuwa, tofauti kati ya taasisi hizo mbili sio geni, japo akakiri kuwa linahitaji ufasiri wa kisheria utakaositisha mzozo huu kabisa. Kindiki aidha amesema kuwa amekuwa akifanya mazungumzo na taasisi hizo mbili kutafuta suluhu