Waziri wa Usalama Kindiki akutana na viongozi wa Garissa kujadili mikakati ya kukabiliana na ugaidi

  • | Citizen TV
    256 views

    Waziri wa Usalama Prof Kithure Kindiki kwa siku ya pili yuko eneo la Kaskazini Mashariki kwa msururu wa mikutano na wakuu wa vitengo vya usalama, viongozi wa kidini na kijamii kujadili mikakati mipya ya kukabiliana na kero ya ugaidi.