Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa zamani Ali Mwakwere atawazwa kuwa hatibu wa jamii ya Mijikenda

  • | KBC Video
    246 views
    Duration: 3:18
    Waziri wa zamani ambaye pia alikuwa mbunge wa Matuga Chirau Ali Mwakwere ametawazwa kuwa msemaji wa jamii ya Mijikenda ambapo atawakilisha jamii ndogo tisa kutoka eneo la Pwani. Hafla hiyo iliyoandaliwa kwenye kijiji cha Vishakani huko Kaloleni, kaunti ya Kilifi, ilisadifiana na ukumbusho wa miaka-53 baada ya kifo cha Ronald Ngala, hatua ambayo ni muhimu katika ukumbusho na ufufuo wa umoja wa jamii hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive