Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa zamani Raphael Tuju akamatwa baada ya kujitokeza

  • | Citizen TV
    22,210 views
    Duration: 4:46
    Je, waziri wa zamani Raphael Tuju alikuwa wapi? Ndilo suali ambalo linaendelea kuulizwa huku Tuju mwenyewe akijitokeza leo na kudai kuwa alikuwa mafichoni huko Kiambu baada ya kuhofia maisha yake. Haya ni huku mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa jinai Mohammed Amin naye akisema kuwa Tuju alikuwa nyumbani kwake katika mtaa wa Karen muda huo wote ambapo ilidaiwa kuwa ametoweka.