Skip to main content
Skip to main content

Waziri Wandayi akaa ngumu zaidi

  • | Citizen TV
    583 views
    Duration: 3:26
    Waziri wa kawi Opiyo Wandayi anashikilia kuwa hakujua lolote kuhusu sakata ya uagizaji wa mafuta nje ya mpango wa serikali, akisema kamati maalum ya kukagua viwango vya mafuta nchini iliidhinisha uagizaji huo. Akihojiwa na kamati ya bunge kuhusu kawi, Wandayi alisisitiza kwamba hatajiuzulu kutokana na sakata hiyo, akisema uchunguzi unaoendelea utamwondolea makosa.