Skip to main content
Skip to main content

Waziri Wandayi aonya wanaounganisha umeme haramu Meru

  • | Citizen TV
    88 views
    Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi ameonya dhidi ya wizi wa nguvu za umeme. Akizungumza katika eneo la Meru, Wandayi amesema kuwa kumekuwa na visa vya umeme kuwekwa kinyuma na sheria. Hata hivyo, Wandayi aliyeandamana na katibu wake Alex Wachira akiwahakikishia wakaaji wa Meru kuwa Shirika la Kenya Power halitakata umeme uliowekwa kinyume na Sheria, na badala yake itaangalia namna ya kurekebisha mita za Stima zisizo halali na kurekebisha. Walikuwa wamezuru eneobunge la Igembe ambapo Kenya Power limeng'oa mitambo ya Transfoma na kuacha maelfu ya wakaaji gizani.