Wetangula apinga madai ya wabunge kula rushwa

  • | Citizen TV
    240 views

    Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula amekanusha madai ya Rais kuwa wabunge na haswa wanakamati wa kamati mbalimbali za bunge wanaitisha rushwa ili kuputisha miswada au kuwaondolea lawama viongozi.