Wetang’ula ataka waliohusika na maandamano wachakuliwe hatua za kisheria

  • | NTV Video
    263 views

    Spika wa Bunge la Taifa, Moses Wetang’ula, ametoa wito kwa vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wote waliohusika katika kupanga na kushiriki maandamano ya wiki jana wanakabiliwa kwa mkono wa sheria.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya