Wezi wa vifaa vya usambazaji maji wanaswa Murang’a

  • | KBC Video
    271 views

    Washukiwa wawili wametiwa nguvuni kuhusiana na wizi wa mita, mifereji na mabomba ya maji yanayomilikiwa na kampuni ya usambazaji maji ya Murang’a-MUWASCO.Kulingana na mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Daniel Ng’ang’a, kampuni hiyo inakadiria hasara ya zaidi ya shilingi milioni-4 kutokana na wizi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive