Wezi wahangaisha waakulima Perkerra

  • | Citizen TV
    162 views

    Kilimo cha unyunyiziaji huko Perkerra kimetatizika kufuatia kuibwa kwa vyuma vya mabomba ya maji Wakulima wamelalamika kuwa wizi wa valvu za chuma na mifumo ya kuingiza maji, imesababisha mashamba kufurika huku mengine yakikosa maji kabisa. Hali hii imeleta migogoro kati ya wakulima na kutishia uzalishaji wa chakula. Mbunge wa Baringo Kusini, Charles Kamuren, ametoa wito kwa serikali kuu kurejesha marufuku ya biashara ya vyuma vikuukuu