14,880 views
Duration: 2:17
Wicknell Chivayo, si jina geni barani Afrika,
Hivi karibuni, taarifa iliyodaiwa kutoka bodi ya kupambana na rushwa kutoka Zimbabwe ilisaambaa kupitia ukurasa wa X, ikisema kuwa uchunguzi dhidi yake umefunguliwa juu ya madai ya Rushwa.
Hata hivyo taarifa hiyo ilifutwa muda mfupi baadae lakini nakala za tangazo hilo bado zinaendelea kusambaa mitandaoni.
Mwezi juni mwaka huu bodi hiyo ya kupambana na rushwa ilitoa taarifa kuwa ukurasa wake wa X ulidukuliwa.
Lakini Wicknell Chivayo, ni nani hasa?
-
-
#bbcswahili #zimbabwe #tanzania #kenya #uganda #tajiri #siasa