William Ruto: "Bila ya amani na usalama, bila utulivu, hatuna taifa,"

  • | BBC Swahili
    2,264 views
    Kila mtu anayehatarisha maisha yake kwa ajili ya taifa hili ninamuunga mkono kikamilifu, na Serikali ya Kenya iko pamoja naye." "Bila ya amani na usalama, bila utulivu, hatuna taifa," Rais William Ruto ametoa hakikisho la kuwaunga mkono polisi huku waandamanaji wakitarajiwa kushiriki maandamano ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vijana walipojitokeza kupinga Mswada wa Fedha 2024. Ruto alisema polisi wanajukumu la kuhakikisha usalama, kulinda maisha ya Wakenya na kuzuia uharibifu wa mali. - - #bbcswahili #kenya #nairobi #GNZ #uongozi #polisi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw