- 1,692 viewsDuration: 9:14Sammy Awami wa BBC alipata nafasi ya kipekee kutembelea kituo cha wafungwa wa vita magharibi mwa Ukraine, ambako wanaume wa Kiafrika sasa wamekwama kati ya vita, siasa, na mustakabali usio na uhakika. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw