- 22,635 viewsDuration: 1:36Kwa nini Wimbo wa Taifa wa Tanzania unafanana na Zambia na Afrika Kusini? Sammy Awami anaelezea kwa kina sababu haswa ya nyimbo hizi kufanana mirindimo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw