Skip to main content
Skip to main content

Wito umetolewa kwa vijana kujisajili kwa wingi kupiga kura eneo wanakotoka

  • | Citizen TV
    158 views
    Duration: 1:46
    Huku zoezi la kuwasajli wapigakura wapya likiendelea kote nchini, wito umetolewa kwa vijana kujisajili kwa wingi eneo wanakotoka huku hisia zikibuliwa kuwa kuna baadhi ya viongozi ambao wanawashawishi vijana kutoka sehemu zingine kujisajili katika maeneo yao kaunti ya kaka mega.