WIto watolewa kwa serikali kupanua wigo wa ushuru wa taifa

  • | K24 Video
    43 views

    WIto umetolewa kwa serikali kupanua wigo wa ushuru wa taifa kwa lengo la kuongeza mapato yanayokusanywa na kudumisha utaratibu unaotumika sasa kutoza ushuru ili kuwapunguzia wakenya mzigo. Katika kikao na wanahabari, wataalam kuhusu maswala ya ushuru wameitaka serikali kupitia kwa bajeti ya mwaka wa 2023/24, kuzingatia zaidi sekta za kilimo na viwanda,