Wizara ya afya Katika kaunti ya Kajiado yatoa wito kwa serikali kuu kulikwamua shirika la KEMSA

  • | Citizen TV
    137 views

    Wizara ya afya Katika kaunti ya Kajiado inatoa wito kwa serikali ya kitaifa kutenga pesa za kupiga jeki shirika la kusambaza dawa la KEMSA ili kulikwamua na kuhakikisha usambazaji wa dawa katika kaunti umeimarika.