Wizara ya Afya Turkana yapokea dawa ya shilingi milioni 13.8. kutoka kwa KEMSA

  • | TV 47
    27 views

    Wizara ya Afya Turkana yapokea dawa ya shilingi milioni 13.8.

    Dawa hizo zimetoka katika mamlaka ya dawa nchini KEMSA.

    Hosipitali 104 zitakuwa zinapokea dawa hizo.

    Onyo kali limetolewa dhidi ya wezi wa dawa Hosipitalini.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __