Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya afya yashirikisha umma ili kurekebisha sheria za shisha

  • | KBC Video
    295 views
    Duration: 1:43
    Katibu wa afya ya umma Mary Muthoni amelihimiza bunge liharakishe kupitisha mswada wa udhibiti wa tumbaku ambao utadhibiti bidhaa za nicotine zinazoibuka. Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya bunge la taifa kuhusu afya Muthoni alisema kuwa sheria ya sasa wa kudhibiti matumizi ya tumbaku haishughulikii bidhaa zinazoibuka za tumbaku zikiwemo shisha, vape na vifurushi vya nicotine. Kwenye sheria hiyo mpya serikali pia inanuia kudhibiti matangazo ya kidijitali ya bidhaa za tumbaku. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive